Sisi ni kampuni inayo jishughulisha na shughuli mbalimbali za kiuchumi na maendeleo kama ifuatavyo:
Usagaji wa nafaka
Uwakala wa huduma za fedha
Uuzaji wa vyombo / vifaa vya nyumbani
Uuzaji wa vinywaji
Uuzaji wa mbolea
Kilimo cha mazao mbalimbali kama mahindi,Alizeti na maharage
Huduma za mapambo
Ufugaji wa nyuki
Ufugaji wa mifugo kama vile ng'ombe,mbuzi,kondoo na nguruwe
EndeleaTunazo bidhaa nyingi mbalimbali kwa ajili ya matumizi kama vile